SHIRIKI KUOMBA PAMOJA NA WAOMBAJI NCHINI WALIO AMUA KUMTAFUTA MUNGU KWA NJIA YA MAOMBI.
Bwana Yesu asifiwe, karibu katika National Network of Prayer, watu walioamua kumtafuta Mungu kwa njia ya maombi. Tunaomba kwaajili ya Mataifa mbalimbali, Kanisa, Wamishenari na jamii kwa ujumla. Mitandao mingi duniani imesababisha kuharibika kwa maadili,Hebu ndugu tuungane pamoja kumtafuta Mungu kwa njia ya maombi. Karibu ujiunge nasi.

Tafadhari jisajili katika ukurasa ulioandikwa ''JOIN US''
kwenye guestbook.Mungu akubariki sana.

JOIN WITH NATIONAL NETWORK OF PRAYER TO SEEK THE FACE OF GOD THROUGH PRAYER.

Praise the Lord Jesus,you are welcome in the National Network of Prayer
who are members seeking God through prayer. We pray for the Nations,Church,
 Missionaries and all socities. Many networks around the world, have
brought the destruction of moral values. Let us join together to seek
God through prayer. You are welcome to join us!

Please register in our guesbtook
on the link which is written,
''JOIN US''.  God Bless You!

National Network of Prayer
 Milimani na mabondeni,mijini na vijijini sauti za waombaji zipae juu kwa Mungu atendaye maajabu na ajibuye kwa moto



             2NYAKATI 7:14
WELCOME! 
WATU WA MUNGU WAKIOMBA MAMBO MAKUBWA HUTOKEA
(when the people of God pray, great things happen!)
Create A Free Website With WebStarts.com